Lesson 7 Nikusaidie nini? Mazungumzo

 0    22 词汇卡    arudkowska
打印 检查自己
 
问题 - 答案 -
Halo, Wildlife Research Institute.
开始学习
Haloo, Taasisi ya Uchunguzi wa Wanyamapori.
I am an American researcher.
开始学习
Mimi ni mtafiti kutoka Marekani.
I want to make an appointment with the director. (mi)
开始学习
Ninataka kuweka miadi na mkurugenzi.
spotkanie For what purpose?
开始学习
Miadi ya nini?
I'd like to talk to the director about wildlife conservation.
开始学习
Ningependa kuzungumza na mkurugenzi kuhusu uhifadhi wa wanyama.
I'm sorry, the director is not here.
开始学习
Samahani, mkurugenzi hayupo.
Czy (!) będę mógł się z nim zobaczyć jutro?
开始学习
Je, nitaweza kumwona kesho?
tomorrow he's not available too
开始学习
kesho hana nafasi pia.
Jutro będzie miał spotkanie. (mk)
开始学习
Kesho atakua na mkutano.
Can you come next week?
开始学习
Unaweza kuja wiki ijayo?
tak, będę mógł.
开始学习
Ndiyo, nitaweza.
W który dzień?
开始学习
Nije lini?
Come on Monday, next week.
开始学习
Njoo Jumatatu, wiki ijayo.
Przepraszam, nie będę mógł przyjść w poniedziałek, I won't be available.
开始学习
Samahani sitaweza kuja Jumatatu sitakuwa na nafasi
co teraz zrobimy?
开始学习
Sasa tutafanya nini?
będę mógł przyjść we wtorek albo w środę.
开始学习
Nitaweza kuja Jumanne au Jumatano.
On będzie podróżował i nie wróci przed czwartkiem.
开始学习
Yeye atasafiri na hatarudi mpaka Alkhamisi.
Więc przyjdę w czwartek.
开始学习
Basi nitakuja Alkhamisi.
Don't come on Thursday, come on Friday.
开始学习
Usije Alkhamisi, njoo Ijumaa.
Get (here) early on Friday.
开始学习
Fika mapema Ijumaa.
I'll get there at eight o'clock.
开始学习
Nitafika saa mbili asubuhi.
Do zobaczenia w piątek.
开始学习
Tutaonana Ijumaa.

您必须登录才能发表评论。